Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,512 Reaction score 2,712 Sep 8, 2021 #21 Mwakinyo aache kupigana na wauza matunda.
C Ceasario Senior Member Joined May 21, 2017 Posts 113 Reaction score 99 Sep 8, 2021 #22 Mbabe na mwakinyo NI UZITO tofaut, na hawahusiana kabisa, hapo watawezanaje.. Linganisha bondia wa uzito sawa tukuelewe steveachi said: Mwakinyo anapiganishwa na walevi tu,ni bondia overated tu,huyo hata dulah mbabe hamuwezi Click to expand...
Mbabe na mwakinyo NI UZITO tofaut, na hawahusiana kabisa, hapo watawezanaje.. Linganisha bondia wa uzito sawa tukuelewe steveachi said: Mwakinyo anapiganishwa na walevi tu,ni bondia overated tu,huyo hata dulah mbabe hamuwezi Click to expand...
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Sep 8, 2021 #23 Naona bwana mdogo kapanda tena mpaka nafasi ya 11 kutoka ile 13.