Huyu bondia aliepigana na Mwakinyo ni bondia muoga na asie na mbinu

Mwakinyo aache kupigana na wauza matunda.
 
Mbabe na mwakinyo NI UZITO tofaut, na hawahusiana kabisa, hapo watawezanaje..
Linganisha bondia wa uzito sawa tukuelewe
Mwakinyo anapiganishwa na walevi tu,ni bondia overated tu,huyo hata dulah mbabe hamuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…