Huyu Bwana Mdogo Hayuko Sawa Mahali.

Huyu Bwana Mdogo Hayuko Sawa Mahali.

Machozi ya ma x wake anaoshinda kuwa dhalilisha dogo kama ana wenge hivi
 
High on drugs? You can only be a celebrity for so long, before you calebrate crack cocai...,, wote tu ndo ugonjwa wao
 
Nimeshangaa moyo umeniuma. Nimejua kuwa nampenda Dogo aisee yani naona kama ni mdg wangu anawehuka
 
Ni uchovu tu....dogo anapambana sana anaunganisha na mauno mfululizo
 
Machozi ya ma x wake anaoshinda kuwa dhalilisha dogo kama ana wenge hivi
Me ninashindwa kukuelewa we ni me au ke maana unapenda Sana udaku na kuunganisha dots zisizo na uwalisia ukwel unajulijaka kabisa diamond ana show nyingi Sana na zote zipokaribu karibu mfano diamond Hadi Sasa hiv ana show 27 sehemu tofauti tofaut apati hata muda wakupumzika hapa Jana tu katoka kufanya show Uganda na jumapili anashow mwaza lazima uchovu utokee na ukizingatia jamaa anafanya show masaa 4 mpaka ma5.
 
Back
Top Bottom