Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Best NasoNyimbo zile kama za 20% ndio zinakuaga ORG yaani anaimbaga kitu natural lkn za hawa wengine wote ni utaahira tu.
unajua "hit song" braza?
Moja kati ya vichwa vilivyowahi kutokea TZ.Nyimbo zile kama za 20% ndio zinakuaga ORG yaani anaimbaga kitu natural lkn za hawa wengine wote ni utaahira tu.
Moja kati ya vichwa vilivyowahi kutokea TZ.
Ni kidemu weweunajua "hit song" braza?
Chukua nyimbo za harmonize zoote .ndo una pata kwangwaru OG..sizani kama atakuja kupata hit nyingine kama iyo kwa siku za karbuni, Hivyo acha airudie rudie tu[emoji28]akizani ana weza leta maajabu
Dark Side