Huyu bwana mdogo Ibra mbona kaanza kukopi nyimbo za Harmonize mapema hivi

Kwangalu ni wa harmonize pia, ndie mtunzi

Haya diamond hit song zake ambazo zimepata most viewed ni alizoimba na harmonize
Hapana mkuu ni viseversa ya unavyo dai

Au kwenye nana , African beauty na kidogo kuna Harmonize mle?..
 
Watoto wa diamond kukosoa kla ktu kinachofanywa na upande tofaut hiyo n desturi yao..

Huu ni uwenda wazimu. Pale dabiliyusibii utunzi umeisha.

Zuchu haeleweki.

Lavalava ndio wanamtafutia kaz nyingne.

Queen ndio vile tena. Yupo pale sababu ya kaka

Rayvan ndio haelew anakwama wap. Mzk wake haumpi uhakika akitoka usafin hali itakuaje..

Bosi wao ndio vile tena. Mwing wa tress. Nyimbo kila siku af zote n kama hakuna kitu. Qarantini ni km vile imetoka mwaka juzi. Kumbe jana tu. Ila imesahaulika. Yani unapata korabo na Rossay unaishia kuimba sijui Waka waka.. Aisee watunzi wanahitajika paleee..

Em fikilia, kolabo zote zile international lakini nominations hatuzion kabisa. Utunzi utunzi...

Yule dogo muhindi wa bongo sijui mbosso khani yule ndio alifeli kabla ya kuanza. Yan sijui anaimbaga nini tu..
 
Ndo uwezo wako wa kufikiri ume ishia apa
 
Wenzako wanapiga pesa tuuu.
 
Kwahyo unaniambia verse zote za chibu aliandikiwa na harmonize??
Kwangalu ni wa harmonize pia, ndie mtunzi

Haya diamond hit song zake ambazo zimepata most viewed ni alizoimba na harmonize
 
Watoto wa diamond kukosoa kla ktu kinachofanywa na upande tofaut hiyo n desturi yao..

Huu ni uwenda wazimu. Pale dabiliyusibii utunzi umeisha.

Zuchu haeleweki.

Lavalava ndio wanamtafutia kaz nyingne.

Queen ndio vile tena. Yupo pale sababu ya kaka

Rayvan ndio haelew anakwama wap. Mzk wake haumpi uhakika akitoka usafin hali itakuaje..

Bosi wao ndio vile tena. Mwing wa tress. Nyimbo kila siku af zote n kama hakuna kitu. Qarantini ni km vile imetoka mwaka juzi. Kumbe jana tu. Ila imesahaulika. Yani unapata korabo na Rossay unaishia kuimba sijui Waka waka.. Aisee watunzi wanahitajika paleee..

Em fikilia, kolabo zote zile international lakini nominations hatuzion kabisa. Utunzi utunzi...

Yule dogo muhindi wa bongo sijui mbosso khani yule ndio alifeli kabla ya kuanza. Yan sijui anaimbaga nini tu..
Nomination gani unazozitaka wewe...?unajua kuwa msanii wa pekee kushinda BET ni rayvanny na nikutokea WCB,na je hao wasanii wanotunga Sana wamepata nomination gani..?WCB CHAMA LAO SAWA DOGO.
 
Back
Top Bottom