Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019, huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.
Kwa mara ya kwanza nilimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda Kona baa, siku nilienda tena pale, nilimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nilivyoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikuwa nafanya pale Kona baa kwa usiku ule na yalikuwa kweli nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahau.
Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa Kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)
Wanaume tuwe makini..