Huyu chawa yeye alimkabidhi nani akili?

Huyu chawa yeye alimkabidhi nani akili?

Kwani wewe akili zako ulimkabidhi rage? Sioni tofauti yake na wewe[emoji706][emoji706]
Screenshot_20230123-193004.jpg
 
Jamaa ana akili kabisa halafu ana fanana na mashabiki wake akili.
 
View attachment 2607654

Kuna wakati aliwaambia mashabiki wa Yanga kwamba kati ya wingi wao wenye akili ni wawili tu. Baba yake na Rais Kikwete.

Muulizeni baada ya kuhamia Yanga yeye akili zake alimkabidhi nani
Timu zinajitangaza na kujisifu kwa makombe ya international championship, lakini huku Tanzania timu zinajisifu kwa kuishia njiani (robo fainali, nusu fainali na fainali ndio mafanikio) timu inajisifu kwa kumfua ubingwa bigwa mtetezi huo si upuuzi?

Timu inajisifu kwa kuifunga timu kubwa ndio mafanikio yao kwenye mpira. Kama ndio malengo ya timu zetu za Tanzania ndio hayo basi soka letu lina safari ndefu sana ya kuwa wasindikizaje. Ile nyimbo ya Mr. Ebo na Wagosi wa kaya (sifa za kijinga) inatuhusu.
 
Maweweseko bado hayajawaisha tuu Ndugu zetu Wa Msimbazi??
 
Back
Top Bottom