Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Sadaka!
 
Naunga mkono hoja. Tajiri wa kweli hapigi picha na hela. Angalia akina Mzee Bakhresa, Mo, GSM, matajiri wa madini huko Arusha. Hakuna siku utaona wanafanya ujinga huo. Huyu Godlove atakuwa anafanya Money Laundering. Achunguzwe na Mamlaka aonyeshe chanzo cha mapato yake, ulipaji kodi wake na wateja wake wanaompa hizo hela za burebure!! Anaharibu vijana ambao wanaona kuna njia fupi za kupata pesa badala ya kufanya kazi kwa bidii.
 
Bila shaka wala kumungunya maneno HUNA HELA kama unazo za KULA tu .
Fuata mkondo wa shetani kwa kutenda matendo yake (hiyo ndio kumsujudia) kama; wizi, ufisadi, ushirikina, utapeli, uongo, kuumiza watu n.k

Kama wewe una pesa, juwa uko kwenye hiyo njia.
 
Kuna poyoyo mmoja hapo post #133 kani quote eti 🤣🤣🤣
 
Acha roho mbaya kijana,uchawi unaanzaga hivi hivi
Tafuta pesa
 
Ila Bongo siku hizi kuna vijana wengi matajiri, Chief God love, Niffer, Viunja bei, Ontario, vijana wengine mnakwama wapi?
 
Acha wivu nawewe ,kutakatisha pesa wangekwisha mnasa. pia kutumia mil 40 mlimani si kweli
 
Mamlaka zimelala usingizi. Mfanya biashara gani hana TIN ukiambiwa anatakatisha fedha unakataaje
 
Unajua maana ya mitaji! Acheni kuingiza watu chaka nyie ndio michawa
 
Kabla ya kujua kuwa anafanya biashara gani, hebu jiulize ni kwa nini fremu za biashara za Sinza zinalipiwa kodi kubwa halafu zinawekwa pair 5 tu za viatu au shati au gauni piece 4 tu. Hujiulizagi hiyo kodi kubwa inalipwaje kila mwaka na unakuta mtu kapanga fremu hata miaka 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…