Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

Hicho unachokiona anafanya ndio biashara yenyewe.
 
Sidhani kama kuna haja ya kupoteza time yako kuhangaika naye, wanakuaga wa muda tu hao baadae wakiugua figo mnaanza kuchangishana, achana naye mkuu fanya yako..
 
Amejibu swali hilo kisomi sana. Nenda tiktok ukasikilize alivyojibu.
 
Naunga mkono hoja ya kukamatwa kwake, twende mbele zaidi, pia serikali ikamate na masikini wote, yaani wajieleze why wao masikini wakati wengine wanatajirika? The coin has two sides, tusi base only upande mmoja tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…