Huyu Comedian wa Kawe Media fm alikuwa anatania tu au alimaanisha?

Huyu Comedian wa Kawe Media fm alikuwa anatania tu au alimaanisha?

Aiseeeee

Cc Trudie

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
Unamaanisha hivi. au?
maxresdefault.jpg
Duh!!!jamaa mwili jumba lakini linajiminya kwenye jenereta.

-Ndumilakuwili-
 
Huyo ni mmiliki wa facebook na hiyo ndio gari yake..

1400064237_Mark_Zuckerberg_Car.jpg
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Mi naona haina shida kwa maana ni 0.2% ya watanzania wanamiliki magari asilimia 99.8 hawana magari.
Pia ulaji wa mafuta wa gari yangu vits ni mzuri na hauniumizi kichwa.
Tatu wewe wa na ku to mba kama mbwa
 
umaskini ni mbaya sana aisee, kua na vits au ist sio dhambi ila kama unayo moja tu dah inakua taabu sana. Wenzetu wazungu wana vits za kuendea kazini ila weekend unakuta yuko na li commodore cc 4300. Umaskini mbaya sana
 
Mi naona haina shida kwa maana ni 0.2% ya watanzania wanamiliki magari asilimia 99.8 hawana magari.
Pia ulaji wa mafuta wa gari yangu vits ni mzuri na hauniumizi kichwa.
Tatu wewe wa na ku to mba kama mbwa
hizo data ni za kweli? yani kati ya watu 100 wenye magari ni wawili? haiwezekani
 
Eti " Watu wote wanaomiliki Gari aina za Vitz na IST wasijihesabie kuwa wanamiliki Magari bali waseme tu kwamba wanamiliki Majenereta yanayotembea kwani kwa Mwanaume aliye na akili timamu na mwenye Pesa hawezi kumiliki Gari dogo ila atamiliki Gari kubwa ili kuonyesha Uanamume wake ".

Kwa usalama wake kutoka kwa wenye hayo Magari Majenereta sitoweza kumtaja jina hapa ila kama Wewe ni mfuatiliaji mzuri wa Kawe Media fm ( siyo jina lake halisi ) jirani kabisa na Msasani Club Kawe utakuwa umeshamjua huyo Comedian.

Haya wenye hayo Magari Majenereta Vitz na IST hebu jitokezeni mtiririke na mserereke juu ya kauli hii je mnadhani alikuwa tu anatania au amemaanisha?

Nawasilisha.
Zile gari zinaitwa Baby wolker
 
Akamuulize huyo jamaa aliyeliunda hilo gari wakati wazo lilipomjia alikuwa anawaza hayo mawazo kama yake au??
Mtu kuunda hata kijiko huwezi lakini unajifanya kuclass utaalamu wa mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jirani yangu na yeye anamiliki kajenereta ila kwa kweli kanatusaidia sana, akikuona tu lazima asimamishe.
 
hizo data ni za kweli? yani kati ya watu 100 wenye magari ni wawili? haiwezekani
Tena nadhani mdau kakosea. Ni pungufu ya 2%. Chukulia randomly mtaani kwenu au hata kijijini hesabu bila kujali watoto wadogo jumla ya vichwa mia uangalie ni wangapi wanamiliki magari.
 
Dah! Naona wenye yaleeee.... wanavyokenua meno maninerrr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom