Mimi nina mtotommoja mkali sana wa ki Dominica huyo, kila akiniona anaiita "Mi Corazon".
Mpaka nikaanza kujifunza Ki Spanish nijue huyu ana maana gani kuniita "Mi Corazon"?
Nikaja kufahamu kumbe Corazon maana yake ni "heart" katika Ki Hispania, anaposema "Mi Corazon" maana yake "my heart"alikuwa ananiita mimi moyo wake.
Sasa mtu ambaye ana hulka ya mapenzi mapenzi na kutunukiwa tunukiwa hivyo akisikia jina la mtu Corazon anakuwa anafurahi tu, anajua huyo mtu ana hulka ya kimapenzi mapenzi kama jina lake.
Hata nikiona anapost picha hivyo sishangai.
Sasa aje mtu na njaa zake huko hata hajui Corazon maana yake nini, na yeye alitaka apate mzungu wake hajapata pengine, lazima hate rate ipande.
Kama ya kwako au sio...Yuko bomba matiti mazuriiiiii
Mpya is overrated.We nae huna mpya.
Iweke hapaBado kuna ile anakiss balaa
Teh hapana. Yake mazuriKama ya kwako au sio...
Usiniambie yako yashashuka tayari....Teh hapana. Yake mazuri
Huo muda wa kuangalia lips sikua nao kabisa. Imebidi nirudi kuangalia nilivoona hio comment yakoAna lips nzuri
Anatoa linda kisomi si ndio mkuuNinachompendea huyu mdada sitojali yote wanayoongea juu yake nnachompendea ni kwanza ni mzuri,ana umbo zuri ukichanganya na hilo tako but mwisho kabisa ni msomi wa kutukuka sio kama hawa madada zetu wa bongo she iz beauty with brain achana na mambo unayoyaona kuhusu yeye maana hakuna mkamilifu chini ya jua
Tupia picha ya huyo mtoto wa ki-Dominica tumuone na sisi mkuu.Mimi nina mtotommoja mkali sana wa ki Dominica huyo, kila akiniona anaiita "Mi Corazon".
Watu wasiojulikana watamuunganisha nami na kunidukua bure.Tupia picha ya huyo mtoto wa ki-Dominica tumuone na sisi mkuu.
Ha ha ha ha, sawa mkuu.Watu wasiojulikana watamuunganisha nami na kunidukua bure.
Huo muda wa kuangalia lips sikua nao kabisa. Imebidi nirudi kuangalia nilivoona hio comment yako