Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

Nimesoma hapo juu kwamba ni mwanamitindo, je ni mitindo gani?
 
Mimi nina mtotommoja mkali sana wa ki Dominica huyo, kila akiniona anaiita "Mi Corazon".

Mpaka nikaanza kujifunza Ki Spanish nijue huyu ana maana gani kuniita "Mi Corazon"?

Nikaja kufahamu kumbe Corazon maana yake ni "heart" katika Ki Hispania, anaposema "Mi Corazon" maana yake "my heart"alikuwa ananiita mimi moyo wake.

Sasa mtu ambaye ana hulka ya mapenzi mapenzi na kutunukiwa tunukiwa hivyo akisikia jina la mtu Corazon anakuwa anafurahi tu, anajua huyo mtu ana hulka ya kimapenzi mapenzi kama jina lake.

Hata nikiona anapost picha hivyo sishangai.

Sasa aje mtu na njaa zake huko hata hajui Corazon maana yake nini, na yeye alitaka apate mzungu wake hajapata pengine, lazima hate rate ipande.


We nae huna mpya.
 
Ninachompendea huyu mdada sitojali yote wanayoongea juu yake nnachompendea ni kwanza ni mzuri,ana umbo zuri ukichanganya na hilo tako but mwisho kabisa ni msomi wa kutukuka sio kama hawa madada zetu wa bongo she iz beauty with brain achana na mambo unayoyaona kuhusu yeye maana hakuna mkamilifu chini ya jua
Anatoa linda kisomi si ndio mkuu
 
Back
Top Bottom