Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

Duh Kumbe ni mtaliano jamaa Yke sh ah basi atakuwa fundi wa mashine ya bito ya huyo dem
Huyo dem lazima anatoa 0713 ukishaona mwanamke anajinadi makalio Yke basi anayafanyia matangazo.....

Ova

atafanya nini jengine

Makalio ndio habari ya mjini
na 0713 ndio mchezo wa mjini
 
Corazon ni mwanamke haswa!! Ukiskia mwanamke ndio huyu sasa!! Check zigo la makinikia hilo mamamamae hata gari nahonga!

umeona eee masambwenda wa ukweli mpaka bazungu limechanganyikiwa
 
Ninachompendea huyu mdada sitojali yote wanayoongea juu yake nnachompendea ni kwanza ni mzuri,ana umbo zuri ukichanganya na hilo tako but mwisho kabisa ni msomi wa kutukuka sio kama hawa madada zetu wa bongo she iz beauty with brain achana na mambo unayoyaona kuhusu yeye maana hakuna mkamilifu chini ya jua

Na zaidi yoyote mtoto anatako laukweli na rangi ya ukweli
 
mzungu anshika mali yake !!yeye mwenyewe karudhia...sisi jukumu letu ni kusafisha majicho!

inauma sana lakini. Mrembo wa kiafrica kutafunwa na mzungu. Huku sie wenyewe tukibakia kukodolea macho tu.
Mbaya zaidi anatuvurugia 0713 ya dada yetu
 
Corazon ndio my favorite kabisa. mtoto rangi dhahabu, kiuno Almasai alimradi we acha tu.

Ila mtaliano anatulia 0713 dada yetu.
 
Back
Top Bottom