Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

Huyo Corazon ni mwanasheria sasa kuwa malaya hayo ni mawazo yako tu.
Na pia kama ni uzoefu hio kazi ya kuzibua huko nyuma utakuwa mzoefu pia na hio haikufanyi wewe kuonekana ni mwema sana ila wewe na hao wanaokupa ndogo wote ni wale wale.

Naona Povu linakuanza.

Huo uwanasheia wake niwake mwenyewe. ILa Anaishi mujini na Umashuhuri wake unatokana na Umalaya wake. Hilo mbona lipo wazi?

Na wapi nilijitangazia kuwa mwema?
 
Huyo Corazon ni mwanasheria sasa kuwa malaya hayo ni mawazo yako tu.
Na pia kama ni uzoefu hio kazi ya kuzibua huko nyuma utakuwa mzoefu pia na hio haikufanyi wewe kuonekana ni mwema sana ila wewe na hao wanaokupa ndogo wote ni wale wale.
Mwanasheria Jina tu......
Ni wakati gani anatumia kuwa mahakamani
Zaidi ya kupost kalio lake tu na kuwahamasisha watu wa mrukieee ukut

Ova
 
MWANAMITINDO mwenye shepu ‘tata’ Corazon Kwamboka amechafuka mtandaoni mara baada ya kutupia picha ya nusu utupu akiwa na Mzungu anayedaiwa kuwa ni mchumba wake.

Corazon ambaye pia ni mwanasheria nchini Kenya, aliweka picha hiyo ikimuonesha akiwa kifua wazi na Mzungu huyo huku akiwa ameshikiliwa kifua chake.

“Mwendo wa ufukweni,” aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kutokana na picha hiyo, Corazon alipokea matusi mfululizo huku wengine wakimsema vibaya Mzungu wake kwa kitendo cha kumshikilia vibaya kifuani tena hadharani.

View attachment 780001 View attachment 780013
Acheni wivu.
 
si wenyewe wnaupenda umalaya wache tu washikwe popote siku atapiga picha akiwa kawekewa kidole gumba kwa njia ya haja kubwa
 
MWANAMITINDO mwenye shepu ‘tata’ Corazon Kwamboka amechafuka mtandaoni mara baada ya kutupia picha ya nusu utupu akiwa na Mzungu anayedaiwa kuwa ni mchumba wake.
Corazon ambaye pia ni mwanasheria nchini Kenya, aliweka picha hiyo ikimuonesha akiwa kifua wazi na Mzungu huyo huku akiwa ameshikiliwa kifua chake.
“Mwendo wa ufukweni,” aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Kutokana na picha hiyo, Corazon alipokea matusi mfululizo huku wengine wakimsema vibaya Mzungu wake kwa kitendo cha kumshikilia vibaya kifuani tena hadharani.
View attachment 780001 View attachment 780013
hzo parachichi mjomba keshaitika
 
Ninachosikitika zaidi hiki kizazi cha siku hizi cha wadogo zetu wa kike kinakuwa inspired na hawa wadangaji wa instagram na si wale wakina dada wanaojituma kufanya kazi.Wanawaaminisha njia ya pekee kutusua ktk maisha ni kutumia miili yao.
 
Back
Top Bottom