Huyu dada anahoja lakini anaiwasilisha kwa maneno makali sana!

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Anaongea point Sana Lakini anatumia hip-hop iliopita kipimo

Minamshauri apunguze ukali wa maneno maana anashambulia Sana, japo anayoongea Yana ukweli.
 
Hayo makope na makucha sasa

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…