Huyu dada anajiita Wolper ameweza sana kwenye hizi kampeni

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
Yaani huwezi kumfananisha na activist yeyote. Yaani ukichunguza post zote za siasa alizopost Insta utakubaliana na mimi kwamba ameonesha ubunifu wa hali ya juu na weledi wa kumnadi Lowasa na CHADEMA. Hata yeye peke yake kwa quality ya post zake ni zaidi ya akina Wema, Aunt na wengineo ukiwajumlisha wa kambi ya Magufuli. Yaani japo nlikua simjui ni nani ila kupitia post zake nimeona ni mdada anaejielewa kiasi kushinda hao celebrities wengine. Na hata ubongo wake utakuwa na IQ kushinda hao wengine.

Nyinyi wenzangu mlioko insta sijui mmeona vip ukiweka uchama pembeni.

Kwa hiyo huyu Wolper mi nampa alama A na moja kwa moja namtunuku degree ya heshima " HONORIS CAUSA FIRST CLASS"
 
We unaetuambia tuweke uchama pembeni tayari umeshakua subjective mbona.

Ni miongoni mwa wadada wanaojua kuvaa.., That's all I see kwake.
 
Anaushabiki uliopitiliza ninampa F kama wenzake tu!!
 
Ndio huyu kavalishwa pete ya uchumba bila kujua jamaa kaoa atii? Baadae akaanza kukazania posti za siasa kupotezea kudanganywa.
 
Weeee nawe.... kama unajisikia kichefuchefu kwa ushabiki wake, kale malimao..... Au mfollow Wema

Wema wolper walewale tu!!!!!!

Afu nadhani mtoa mada alitakiwa kufuatilia kiundani sio juu juu leo tu, huyo wolper na mwenzake ney wote walikuwa makada wa ccm baada ya lowassa kuhamia ukawa na wao wamehami na kuanza kuiponda ccm ileile waliyokuwa wanaisifu hahahahahaha lowassa siwezi kuuliza kuhusu kuhama kwake ni safi kabisa ila sio hao bendera fuata upepo
 

Toroka ujeeee.... Waliofuata Lowasa yanajua umuhimu wa mabadiliko maana "CCM ni ileileeee eee ni ileileee"
 

Alipo, Tupo.
#torokauje , hujachelewa.
 

Huyu si ndo.yule anayessagga wenzie?? Kweli.ana iq kubwa
 
Kiukweli wolper anajielewa kwa kiasi chake compare na kina wema sijui aunty anajitaidi sana
 
Wolper hana lolote zaid zaid ni UKANDA na UKABILA ndio unaomsumbua. So anatetea maslahi ya Nyumban kwao kama walivyo wengine huko Mitaani na kwenye vyama vya siasa. Nampa F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…