Huyu dada anajiita Wolper ameweza sana kwenye hizi kampeni

Huyu dada anajiita Wolper ameweza sana kwenye hizi kampeni

Hahaha ccm
 

Attachments

  • 1445488803345.jpg
    1445488803345.jpg
    33.9 KB · Views: 396
Wolper wanawema jembe ni kweli kabisa ukim compar na kina wema kweli lazm useme jmb
 
Wolper hana lolote zaid zaid ni UKANDA na UKABILA ndio unaomsumbua. So anatetea maslahi ya Nyumban kwao kama walivyo wengine huko Mitaani na kwenye vyama vya siasa. Nampa F

Ubaguzi utawauwa. Rudi shule. Ndio maana Lowassa anasema elimu elimu elimu. Eti Ukanda na ukabila. Hivi Chadema ina viongozi wangapi ambao ni wa Kaskazini na ni wachagga? Lowassa ni mchagga? Lisu ni mchagga? to name a few? Slaa alikua ni mchagga? Magufuli ni kabila gani? na hilo kabila lake linatoka ukanda gani? kusini?

Muwe mnafikiria. Hata kama wachagga wamebase sana kwenye mabadiliko that is their choice. Ungekua unaakili ungejiuliza mbona wachagga au tuseme mikoa ya kaskazini ina maendeleo zaidi ukilinganisha na pande nyingine za Tanzania. Utajifunza sana and maybe itakusaidia in the future.
 
Back
Top Bottom