Huyu si ndo.yule anayessagga wenzie?? Kweli.ana iq kubwa
Kweli ni Jembe la kusambaza mafuriko feki ya Arusha mpaka anasutwa mitandaoni.
Hapo nilikubali.
Wolper hana lolote zaid zaid ni UKANDA na UKABILA ndio unaomsumbua. So anatetea maslahi ya Nyumban kwao kama walivyo wengine huko Mitaani na kwenye vyama vya siasa. Nampa F