Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Leo nimekuja kuangalia maendeleo ya binti yangu anayesoma katika huu mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kutoka hapo imebidi niingie kiwanja kimoja hapa angalau kujiliwaza na kupunguza uchovu wa safari.
Imebidi niagize altar wine na maji, angalau iniliwaze kwa mazingira haya niliopo kwa sasa.
Kwa mbele yangu namuona mrembo yuko mezani peke yake amesimama anapiga savana, huku akicheza hizi nyimbo za Congo, kinachonivutia zaidi kwake, miguu na kiwili wili hakichezi, ila chura anaizungusha kwa taratibu na kwa madaha kweli kweli; ama kweli watu wa moshi mnafaidi.
Leo nitalala hapa hapa sitoki, ngoja nipange mistari ya kumsogelea, nitawapa mrejesho.
Nawatakia wkend njema; kula maisha, maisha ni haya haya.