Huyu dada ananirusha roho

Mi huwa nawatamani kimapenzi Zukisa na lerato, yani ka ni dhambi, mi ni wa kuchomwa moto kabisa. nshafanya nao sana tu.
 
Kuna kile kitoto kilichokuwa kinamtoa pastor udenda, pastor hadi akadumbikia dhambini, sjamuona tena pastor gabriel sijui keshahukumiwa na Mungu!!!!!

Aphiwe kwa sasa busy anamtaka calvin cavier penzi la calvin linamchanganya full kumtega
 
Nimekurupuka kuangalia nikadhani ni rubby.
 
I love her...

anavaa uhusika anapoact...anapendeza most of the time... akilia you can feel it...akiwa na furaha you can see it.
hawa wanaomsema vibaya they judged her wrongly
Anaigiza vizuri sana.Sasa hivi yupo kwenye scandal nadhani itafika muda ataondoka kwenye isindigo ndio maana anaonekana kwenye scandal ila anajua sana kuigiza huyu dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…