elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Mmmh labda mbele kama una watch via sbc lakini sisi wa ITV tunajua nikiwe analiwa na skhumbuzoPastor Gabriel yupo anamega kisela nikiwe sibeko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh labda mbele kama una watch via sbc lakini sisi wa ITV tunajua nikiwe analiwa na skhumbuzoPastor Gabriel yupo anamega kisela nikiwe sibeko
Mimi nampenda zukisa, katlego na samantha sharmaMkuu lerato lile ta_ko na Ile shepu Yaani hatari
Basi ndio hiyo scandal maana toka aanze kuonekana ana kama mwezi hivi.Unaifatiliaga scandal?Atakufa soon so ataondoka ila reason behind amepata mkataba wa kuigza tamthilia nyingine.
Uwa nampenda akiwa na wasiwasi
Yah ndiyo hiyo scandal, sifuatilii yani tamthlia nayofuatilia ni isindigo tu.Basi ndio hiyo scandal maana toka aanze kuonekana ana kama mwezi hivi.Unaifatiliaga scandal?
Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold diggerYah ndiyo hiyo scandal, sifuatilii yani tamthlia nayofuatilia ni isindigo tu.
Inaonyeshwa wapi? Nayo ni soap opera au ni hizi zenye mwisho?
Hajakomaa. Umri wake na uzuri wake is amazing!kakomaa uso!!
Inaelekea uko deep. Kama ni soap opera ntajaribu fuatilia lakini kama ni series I wont.Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold digger
Hahahaha kuna moja imeisha juzi juzi inaitwa ashes to ashes fatilia hautajutaInaelekea uko deep. Kama ni soap opera ntajaribu fuatilia lakini kama ni series I wont.
Ntajaribu maisha yanakuwa complicated mara series mara movies mara jf mara insta mara whatsapp duh bado kazini bado familiaHahahaha kuna moja imeisha juzi juzi inaitwa ashes to ashes fatilia hautajuta
Anakupa hi sana ..?I love her...
anavaa uhusika anapoact...anapendeza most of the time... akilia you can feel it...akiwa na furaha you can see it.
hawa wanaomsema vibaya they judged her wrongly
Huwa naangalia rhythm city na scandal...wa-South nimewavulia kofia kwa tamthilia hizi. Namzimia Thembeka.Inaonyesha e.tv ile ya SA.Napendaga sana series zao ratiba yangu nikimaliza isindigo saa mbili kamili rhythm city,mbili na nusu scandal then tatu kamili gold digger
Ni moja ya watu ninaowachukia sana aiseew na huko alipo siku akija lazima scandal iwe scandal kweli.Huwa naangalia rhythm city na scandal...wa-South nimewavulia kofia kwa tamthilia hizi. Namzimia Thembeka.
Sijaangalia siku nyingi kidogo...Mangi,bra eddy,david nyathi....nishaanza kusahau ngoja nianze kuangalia tenaNi moja ya watu ninaowachukia sana aiseew na huko alipo siku akija lazima scandal iwe scandal kweli.
Pastor Gabriel yupo anamega kisela nikiwe sibeko
Aisee imekua nzuri sana nyati kaondoka baba yake lerumo kaappear yani sasa hivi utamu ndio umefika mahali pakeSijaangalia siku nyingi kidogo...Mangi,bra eddy,david nyathi....nishaanza kusahau ngoja nianze kuangalia tena