Huyu dada ananirusha roho

Huyu dada ananirusha roho

kwenye Isidingo namwelewa housegirl wa Mr. Lincolin
 
Hii Isidingo ipo tangu enzo za TV ndio kwanza zinaingia Bongo
 
mie nampenda cs anapiga pamba isidingo mzima anavutia pia anavyo igiza
 
Dah kelvin anataka kufanya nini tena?? Naombeni mniwekee link yenye thread ya isidingo...ila episode ya leo iko poa sana hasa mwishoni...dah katlego bana kweli nimeamini wanawake hawapend ukali
..
 
Back
Top Bottom