Huyu dada, hawezi kunipa limbwata kweli?

Huyu dada, hawezi kunipa limbwata kweli?

Mkuu, umenitisha sana. Kuna siku alikuwa anapiga safari kwenda field, kabla ya kwenda huko akaenda kwa mtaalamu wake kwa tiba. Aliporudi jioni, akanitafuta tukawa tunapiga bia, katika mazungumzo akaniambia hatonipa penzi mpaka siku tatu zipite, kwa sababu mtaalamu alimzuia, ili tiba ifanye kazi. Kwa hiyo kuna uwezekano walishanipiga chapo...Nami nataka nimkimbie kabla haijawa jioni
Ukimbie? Yan hapo ni kama umefungwa gps arif. Ukikimbia tu, fasta chungu inaekwa maji, anasema majina yako mara tatu, unaonekana hata kama unaiba miwa huko shambani. Na huo ni mwanzo tu. By end of mwez wa 6 na we utakua mdau kabisa. Na mtaalam wako utakua nae. Sa hv ukipita barabarani ukiona zile namba za waganga wa jadi, uwe unazisevu maana utawazungukia sana.
Lakini ongea na Mshana Jr. Hata kama ametundika daluga, hakosi njia mbili tatu
 
Hapa ni kumpelekea moto wa maombi tu
 
Sasa ww kinacho kutisha hapo ni nn? Hiv unazania kibongo bongo kuna mtu anaefanya mishe za madin bila backup ya ushirikina? Ayo mambo ya kawaida ila jiepushe nae kama uwez kuwa na umakini maana hawachelewi kukupuga akiambiwa na waganga wake akupuge
 
Wewe jamaa una :

1. Mke

2. Una Mchepuko yule ambae ulitaka ushauri wa kumfungulia biashara sijui

3. Una mchepuko ule ulisema umezaa naye

4. Na sasa una huo mchepuko mpya wa mada ya leo?

Eee bana eeeh!

Mmnh !
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom