Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
-
- #21
Kwa kweli mkuu ndo ukubwaPole mkuu
Ndo ukubwa huo
bila shaka we ni msaidizi wa mshana jrRejection spirit inakuandama hebu yachunguze maisha yako
Wewe mtoto huwa na fall in love sana with your beautiful handwriting.Ndiyo tulivyo wadada tusiokuwa na hela, yan ukiwa town na 50K kwa handbag unaona na kuhisi kila anayekusogelea ni mwizi.
Pole kwa yaliyokukuta.
Carl Peter alikuwa na Roho mbaya, Magu hamfikii hata chembetatizo ni jina unalotumia mkuu.....................majina ya kizungu hayo,........alijua wewe ni carlpeter
Huyu itakuwa alikuwa na ka mkufu amenunua akaweka kwenye kipochi akahisi jamaa alimwona.Ndiyo tulivyo wadada tusiokuwa na hela, yan ukiwa town na 50K kwa handbag unaona na kuhisi kila anayekusogelea ni mwizi.
Pole kwa yaliyokukuta.
Nahisi jina lako linaweza kumuogopesha,nahisi tu lakiniWewe mtoto huwa na fall in love sana with your beautiful handwriting.
Kuna ubaya tukiwa na mawasiliano nje ya JF ?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwanini mkuuNahisi jina lako linaweza kumuogopesha,nahisi tu lakini
Sawa mkuu๐ ๐mjini kuna vibaka smart hivo alikua anachukua tahadhari wala usijisikie vibaya mkuu.
Kwakweli๐ ๐ ๐Pole ,hiyo hali inafedhehesha
DaaahHuyu itakuwa alikuwa na ka mkufu amenunua akaweka kwenye kipochi akahisi jamaa alimwona.
Yawezekanaaa mkuu๐ ๐ ๐Pengine alishang'atwa na joka jeusi ndio maana nyasi zikipepea lazima ajihami..
Daaah sawa mkuu๐๐Hapo tunasema umenusurika kuangukiwa na Jumba bovu..ila inatakiwa ushukuru mana angekujazia watu huu muda tunaongea sasa usingekwepo na wala huu Uzi pia tusingejadili hapa..
Ukiitiwa mwizi mjini ujue ndio kifo chako unakufa huku unajiona,tena hawa wamama ndio kabisaa jamii mpaka ije ithibitishe kuwa hakuna lolote LA kweli uso ushakuwa kama Masoud sura mbaya..
Shukuru Mungu mkuu hilo wazo LA amekuonaje achana nalo halina msaada wowote kwa sasa,mana kila MTU na mawazo yake na huwezi kumbadili awe kama ww unavyofikiri.