Huyu dada kanichukuliaje?

Huyu dada kanichukuliaje?

mjini kuna vibaka smart hivo alikua anachukua tahadhari wala usijisikie vibaya mkuu.
 
Hapo tunasema umenusurika kuangukiwa na Jumba bovu..ila inatakiwa ushukuru mana angekujazia watu huu muda tunaongea sasa usingekwepo na wala huu Uzi pia tusingejadili hapa..

Ukiitiwa mwizi mjini ujue ndio kifo chako unakufa huku unajiona,tena hawa wamama ndio kabisaa jamii mpaka ije ithibitishe kuwa hakuna lolote LA kweli uso ushakuwa kama Masoud sura mbaya..

Shukuru Mungu mkuu hilo wazo LA amekuonaje achana nalo halina msaada wowote kwa sasa,mana kila MTU na mawazo yake na huwezi kumbadili awe kama ww unavyofikiri.
 
Ndiyo tulivyo wadada tusiokuwa na hela, yan ukiwa town na 50K kwa handbag unaona na kuhisi kila anayekusogelea ni mwizi.

Pole kwa yaliyokukuta.
Wewe mtoto huwa na fall in love sana with your beautiful handwriting.

Kuna ubaya tukiwa na mawasiliano nje ya JF ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo tulivyo wadada tusiokuwa na hela, yan ukiwa town na 50K kwa handbag unaona na kuhisi kila anayekusogelea ni mwizi.

Pole kwa yaliyokukuta.
Huyu itakuwa alikuwa na ka mkufu amenunua akaweka kwenye kipochi akahisi jamaa alimwona.
 
Hapo tunasema umenusurika kuangukiwa na Jumba bovu..ila inatakiwa ushukuru mana angekujazia watu huu muda tunaongea sasa usingekwepo na wala huu Uzi pia tusingejadili hapa..

Ukiitiwa mwizi mjini ujue ndio kifo chako unakufa huku unajiona,tena hawa wamama ndio kabisaa jamii mpaka ije ithibitishe kuwa hakuna lolote LA kweli uso ushakuwa kama Masoud sura mbaya..

Shukuru Mungu mkuu hilo wazo LA amekuonaje achana nalo halina msaada wowote kwa sasa,mana kila MTU na mawazo yake na huwezi kumbadili awe kama ww unavyofikiri.
Daaah sawa mkuu🙏😅
 
Pole sana, alijua wewe ni askari, ungemtisha na kumsimamisha ungekuta ana kete kadhaa...
 
Back
Top Bottom