Huyu dada nampenda sana.

Achana nae inaonyesha humpendi, muache nae atafute mwingine mwisho atazeeka akikusubiri kumbe huna taim nae. Tafuta ambae moyo wako utaridhika nae.
 
umesema kweli mkuu.
 
umri ni nini wewe? kuna wengine umewazidi umri but wanaonekana watu wazima kupita wewe. halafu
ukitaka kuoa kweli angalia tabia ci baadhi ya viungo, kwani cku ukivikosa ni rahisi kusepa pembeni
mathalani anavyoongea. cku akibadilisha sauti basi utaanza kumtafuta wa sauti ilelile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…