Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesema kweli mkuu.Katika vitu ambvyo ctakuja kufanya ni kumpotezea mwanamke muda wake na kumchezea/kumdanganya. Unajua kbc huyo binti unampa ahadi za uongo,hebu jiweke ww kwenye nafasi ya huyo mdada hopely utafanya maamuzi sahihi na km na ushaamua kutomuoa mwambie mapema.