Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Acha awaibie tu. Kuna demu ukimuona unajua kabisa haya sio mapigo yako,ila unaamua kujipeleka.
 
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
We umeniunga na magroup ya malaya mangapi? Kama umemuona kwenye mamalaya unamlaumu nini sasa?
 
Huyu anafan page nyingsana kama hujawahi kukutana nae usilalamike utakuwa hukuibiwa na yy bali mtu anaetumia picha zake ndo aliyekuibia
 
Huyu atakuwa mwizi wa watu. Kuna uwezekano MTU kamwagwa sasa anamalizia hasira zake jf kumharibia. Hebu nipe namba yake nione atakavyoniibia. Teeeehe, teeeehe, teeeeeeeeheeee
 
Anatumia jina gani?

Mwizi huyo inabidi umuepuke
wacha kumchafua huyo dem hana ac fb;yuk ig t anatumia ery cah;dem wak dick sound wa magomen,huyo ni video vixen!
kashawambia watu mara kibao watu wanatumia picha zake kutapeli bt co yy!
 
Shida yake ni moja tuu, ukianza kuchat nae WhatsApp lazima akuombe hela ya lunch tena haombi hela nyingi elfu 20 tuu
 
wacha kumchafua huyo dem hana ac fb;yuk ig t anatumia ery cah;dem wak dick sound wa magomen,huyo ni video vixen!
kashawambia watu mara kibao watu wanatumia picha zake kutapeli bt co yy!
Hamna kaka hata jambazi ukimkamata huwa hakubali lazima ajitetee
 
Wenye tamaa ndiyo watakao pigwa. Kwani anawafata majumbani kwenu si viherehere venu. Acha mpigwe. Dada wapige tu mpaka wafilisike wakuja hao.
 
Mkuu una uhakika na hiko unachosema???maana kumbuka kufanya hivo ni kumvunjia mtu heshima"defamation"kwahyo kama unauhakika naunachosema its owk lakin kama sio kweli mkuuu kisheria utakuwa responsible
 
Huyu demu yuko badoo na account tofauti ikiwepo ya jina la Neema.. ukimwomba papuchi anakubali fasta kisha anakuomba elfu 10 ya nauli.. ukimtumia imekula kwako.
 
Kumbuka mpira bro, maana ule uwanja kila aina ya mchezaji anapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…