Huyo kikaragosi atakaerhubutu kukuiba ajiandae kula ngumi za uso [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]Niombee asije akaniiba nq mimi ukabaki mupweke mupenzi weeh...!
Instagram anatumiakwa nini ni yeye tu na si wengine?
Vipi kuhusu Badoo?Instagram anatumia
Erry_cah official
hana account facebook
Uache kukurupuka
AsanteMkuu avatar yako bomba sana
Dogo kanunua simu mwakaWewe ndio mshamba..... Hizo account unazoziona sio zake. Ni watu wanafungua hizo account wanatumia picha zake
Dah, wizi uliopitwa na wakati enzi za facebook
Upo nyuma sana aisee. Rudi kijijini
Ww sio wa kunambia ivo mkuu,ila inshallah...unamjuaje?
Au ndio wewe nini?
Kifaa hicho.ndo maana picha yake wanaitumia matapeli.wakiweka ya ebitoke nani atamtongoza?kwa nini ni yeye tu na si wengine?
Namba yake halisi now whatsapp dp ina ujumbe unaanza na "God" wa rangi ya blue...Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke
Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc
Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
Mwenyewe huyu hapakwa nini ni yeye tu na si wengine?
n'kiki??Cha!![emoji15]
Hahaha! Chukua tahadhari naweza tekwa jioni hii najihisi hisia za kutekwa hali siyo nzuri usalama wa mapenzi yetu uko hatarini mupenzi..! Fanya uwezavyo unitumie ulinzi my spice.Huyo kikaragosi atakaerhubutu kukuiba ajiandae kula ngumi za uso [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]
CCTv camera inatuma kila tukio la watu wanakufuatilia.[emoji13] [emoji13] [emoji13]Asante
Kakuhibia nini mkuu?Anatumia jina gani?
Mwizi huyo inabidi umuepuke