Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Niombee asije akaniiba nq mimi ukabaki mupweke mupenzi weeh...!
Huyo kikaragosi atakaerhubutu kukuiba ajiandae kula ngumi za uso [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]
 
Mods futeni huu Uzi

Mlalamikaji hana ushahidi zaidi ya kumdhalilisha mwenye picha
 
Wewe ndio mshamba..... Hizo account unazoziona sio zake. Ni watu wanafungua hizo account wanatumia picha zake

Dah, wizi uliopitwa na wakati enzi za facebook


Upo nyuma sana aisee. Rudi kijijini
Dogo kanunua simu mwaka
jana wenge bado kali
anaweza kutumiwa picha
ya kim kadashian akaja kulalamika
 
Mleta uzi utakuwa ni wa kutoka kolomije .....teh teh teh!karibu mjini daslam
 
Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke

Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc

Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
Namba yake halisi now whatsapp dp ina ujumbe unaanza na "God" wa rangi ya blue...
Namba nyngne zaid ya io utapgwa tu mkuu..
Yy mwnywe kalalamika sana ishu ya matapeli ku2mia vbaya pcha zake
 
kwa nini ni yeye tu na si wengine?
Mwenyewe huyu hapa
4a9a57f07a4b29904807d1a2756a120e.jpg
 
Huyo kikaragosi atakaerhubutu kukuiba ajiandae kula ngumi za uso [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]
Hahaha! Chukua tahadhari naweza tekwa jioni hii najihisi hisia za kutekwa hali siyo nzuri usalama wa mapenzi yetu uko hatarini mupenzi..! Fanya uwezavyo unitumie ulinzi my spice.
 
Uyu manzi flan namwona sana insta UA nahisi anajiuza coz UA simuelew pic zake kabisa, ericash anajiita kitu kama icho
 
Back
Top Bottom