Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Watu wanatumia tu picha yake huyu dada si mwizi
 
una uhakika gani kama sio mwizi?
 
Mpaka umeamua kumuanika humu jf na huko kwingine tusikojua huenda kakutema au kakuibia kikubwa. Mbona huyasemi madhila yake?? Pole saana mkuu, Ila ilikuwa haki utoboke manake hiyo sura na muonekano hakika hizo ni neema za Allah!
 
ni mtamu yani huyu nipe njia ya kumpata nitakuwa ata jambazi nipate pesa ya kumpa siyo kwa huu uzuri
 
Yaan kwa hiyo sura, akija kiustarabu atapata nyingi mno, lakini nina mashaka huwezi kumpa kirahisi bila kumuomba mechi! Ndiyo maana anatumia uzuri wake kama chambo kuwakamata watu.
Au yawezekana tapeli anatumia sura yake kuibia watu.
Take care of yourself.
 
Mtoa mada watu wengi wanatumia picha za watu!
 
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Halafu ametahiriwa usimwone hivyo
 
nikweli kabisa maana hata na mm alisha nitokea .aliniandikia msj inbox kisha akanipa namba yake ya wsp akaaza kunirushia pichazake nyingi sana hadi zauchi mwisho akaniomba nimusaindie pesa hapo ndipo tulipo achana ilanilimutumia 5000 ya vocha
 
Una mchafua dada.
Sizitaki mbivu hizi.
 
Saa ww umetapeliwa vipi au alikwambia tuma nauli na ww ukatuma?
 
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Kweny magrup ya malaya unatafuta nn
 
nikweli kabisa maana hata na mm alisha nitokea .aliniandikia msj inbox kisha akanipa namba yake ya wsp akaaza kunirushia pichazake nyingi sana hadi zauchi mwisho akaniomba nimusaindie pesa hapo ndipo tulipo achana ilanilimutumia 5000 ya vocha
Pole mkuu

Halafu kuna vijitu vinamtetea eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…