Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Niulimbukeni kupita maelezo kupost mapicha mitandaoni wengine wanapost nusu uchi wacha mapicha yao yatumike vibaya tu maana hatahuyo mwenye picha yake anapost kwa lengo lakupata wanaume sio kingine malaya tu
 
huyo atakuwa dume sema anatumia wasif wa kike kupiga hela vp umeshalizwa nn bro
 
Mm malaya akijichanganya aniibie ata juta, kwanza huwa muda wote nawaza kuibiwa..
 
Huyo sio mwizi bali ni mwalimu wa kufundisha watz wengi kwamba "kama mtu ambaye mnaonana physically na kufahamiana anakutapeli sembuse yeye wa mtandaoni, huyo ni tofauti na wale wanaotengeza website alafu wanajifanya wanatoa mikopo, huyo utapeli wake hata kama akikutapeli ukaenda kuripoti polisi hawatahangaika na wewe
 
7187eb58110807cb08730d24ed813da1.jpg
 
Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke

Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc

Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
Acha tamaa
 
4f76feae1dce0583817694922b3c1627.jpg
 
Mkuu huyo dada sio tapel sema kuna watu wanatumia picha zake..ni rafk yang kitambo usimchafue,kuna wanatumia account yake,huyo hana njaa ya kuiba hela ya mtu Fb kwao zipo ni hatari.
 
Mkuu huyo dada sio tapel sema kuna watu wanatumia picha zake..ni rafk yang kitambo usimchafue,kuna wanatumia account yake,huyo hana njaa ya kuiba hela ya mtu Fb kwao zipo ni hatari.
Leo mnajileta tu wenyewe ,mmoja mmoja hapa namchunguza kwa wote mnaomtetea na mnasema mnamjua.
 
Pole mkuu

Halafu kuna vijitu vinamtetea eti
Mkuu bado unaamini ni yeye? Pole ulikuwa unachati na njemba ina nywele mwili mzima. Wenzako tulishatumiwa za mastaa kibao wa nje tapeli anadai yupo Masaki. Ukitaka kuamini ulikuwa unachati na njemba muombe muonane muahidi hata kumpa milioni 10 mkionana, uone itakuwaje.
 
Leo mnajileta tu wenyewe ,mmoja mmoja hapa namchunguza kwa wote mnaomtetea na mnasema mnamjua.
Mbona unakuw na mambo ya ajab,,umchunguze nani,Mim nakusaidia ni watu wanatumia picha zake,,hizo picha ulizopost,alizipost kitambo,,,nenda fb..tafta agnes john...utaona account yake na alishatoa taarifa account yake iliibiw,,
 
Msimtete anaweza akawa yeye ndio mwizi ila anajifanya picha zake zinatumika vibaya,kama picha zake zinatumika vibaya alichukua hatua gani?
 
Alitaka kunitapeli pesa huyo

Nilimwomba anitumie picha za uchii akaniambia nimtumie pesa kwanza nikakataa ,nikamwambia aje tutombane akakataa akasema yeye ni picha tu masuala ya kukutana hataki
Aisee
 
Waniachie mali yangu!!!
Nilikwambia nitatekwa ukadhania uongo, nimeteswa usiku kucha ndiyo nimeachiwa this time wamepora kila kitu na kinitesa kwa mazoezi makali ya ups&downs[emoji85] [emoji85] [emoji85] hapa sina hamu tena mupenzi weeh..![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Pole mkuu! Hizi sura za wanawake zitawaibia sana....Sehemu ya mwanamke ninayoipenda ni kuanzia Juu ya kitovu mpaka Chini ya ziwa Tu,Nyingine zote Anasa😱😱😱
 
Back
Top Bottom