Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

Na mm nkafungue uz wa madam s maana hali c shwar
 
acha ujinga ww , umeshaambiwa kazi ya moyo ni kusukuma dam sasa uyo dada kama kauteka uo moyo dam yako itasukumwa na nn
 
Wewe ni Mwanamke au Mwanaume?

Kwa uzoefu wangu Mwanaume akipenda anaenda mwenyewe kutongoza ila Mwanamke atawaambia rafiki zake ili wamsaidie kumpeleka ujumbe
 
Una uhakika ni dada?
 
Kha lahaula lakwata....kuna uzi ameuanzisha nikawa nataka kumfahamu zaidi ww ....ushatangulia!???
 
Visirid vya namna hii siku hizi vimekuwa vingi sana, ngoja na mimi niandae ya kwangu kuna bidada humu JF nikinywa maji namuona kwenye glass [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Dah... Mtapigwa kijingajinga sana.... Kwa taarifa yenu kuna madem wasiozidi 6 ndani ya JF [emoji13] [emoji13]
 
Mimi hayo macho yake huwa yananifanya nakuwa hoi kiasi kwamba yanataka kunifanya nisahau masuala ya chura sasa!!
Afadhali!.....you will save me!
Macho yako yasisababishe nisahau masuala ya chura please!![emoji17]
Mimi hayo macho yake huwa yananifanya nakuwa hoi kiasi kwamba yanataka kunifanya nisahau masuala ya chura sasa!!
Mkuu, once you step one step ahead, you will be burning on fire. Watch ypur ways, watch your ways Mkuu Behaviourist
 
Dah... Mtapigwa kijingajinga sana.... Kwa taarifa yenu kuna madem wasiozidi 6 ndani ya JF [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Ila kwa vile unaongelea mademu sawa. Sie wengine wanawake sio mademu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…