Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika ni dada?Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani? Isijekuwa ni 'mdini' Faidha Fox...
Unafikiri kila mtu ni fake kama wewepicha yenyewe siyo yake
Haha yani hubby ndo aniunganishe na mchepuko....sijawahi ona hiyoOngea na Compact atakuunganishia.
[emoji2]"kauteka moyo wako"
"unataka umuweke ndani"
shemeji we ni askari?
Dah... Mtapigwa kijingajinga sana.... Kwa taarifa yenu kuna madem wasiozidi 6 ndani ya JF [emoji13] [emoji13]Visirid vya namna hii siku hizi vimekuwa vingi sana, ngoja na mimi niandae ya kwangu kuna bidada humu JF nikinywa maji namuona kwenye glass [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Mahari aolewe yeye ama?Mtumweusi leta mahari home.
Mimi hayo macho yake huwa yananifanya nakuwa hoi kiasi kwamba yanataka kunifanya nisahau masuala ya chura sasa!!
Afadhali!.....you will save me!
Macho yako yasisababishe nisahau masuala ya chura please!![emoji17]
Mkuu, once you step one step ahead, you will be burning on fire. Watch ypur ways, watch your ways Mkuu BehaviouristMimi hayo macho yake huwa yananifanya nakuwa hoi kiasi kwamba yanataka kunifanya nisahau masuala ya chura sasa!!
[emoji23][emoji23][emoji23]hubbyMahari aolewe yeye ama?
[emoji26] [emoji26]Dah... Mtapigwa kijingajinga sana.... Kwa taarifa yenu kuna madem wasiozidi 6 ndani ya JF [emoji13] [emoji13]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyie ndio huwa mnachezea kifiro kwa kushobokea ID fake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolDah... Mtapigwa kijingajinga sana.... Kwa taarifa yenu kuna madem wasiozidi 6 ndani ya JF [emoji13] [emoji13]