Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Utanyofolewa macho, oohooooo!!!!!!!????!!!Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
Dah.. Hata wanawake wenyewe wapo wawili tu[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Ila kwa vile unaongelea mademu sawa. Sie wengine wanawake sio mademu
[emoji23] [emoji23] acha zako...tatizo lako una Roho MbayaDah.. Hata wanawake wenyewe wapo wawili tu[emoji13] [emoji13]
Dah... Lakini ukweli... Utabaki ukweli daima[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] acha zako...tatizo lako una Roho Mbaya
"kauteka moyo wako"
"unataka umuweke ndani"
shemeji we ni askari?
Njoo unioeNa ntakuoa soon
ntakuja Tanga kukuoa mustafaAngalia anaweza kuwa Dume au Gay shaur Lako
[emoji23][emoji23][emoji23]usimtishe mwenzioUtanyofolewa macho, oohooooo!!!!!!!????!!!
scorpio me njoo uniscopion nisione gere mana nahisi mzuka wa kuswaga zizi zima nilete kwenu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
usimtishe mchumba wangu wewe[emoji28]shauri yako mkuu anaweza akawa ni yule scorpion jambazi mtoboa macho
hahaha we ni msukuma?scorpio me njoo uniscopion nisione gere mana nahisi mzuka wa kuswaga zizi zima nilete kwenu [emoji7][emoji7][emoji7]
Sasa umempenda yeye au umependa picha zake?
Angalia isije baada ya kuuteka moyo wako,akakuchomoa na macho kabisa.Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
wala mimi sio msukuma bebi wange ila ng'ombe zipohahaha we ni msukuma?