Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
Utanyofolewa macho, oohooooo!!!!!!!????!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Ila kwa vile unaongelea mademu sawa. Sie wengine wanawake sio mademu
Dah.. Hata wanawake wenyewe wapo wawili tu[emoji13] [emoji13]
 
66cd3e118e03c37d316c7f276d86ad12.jpg
View attachment 456403
Sasa umempenda yeye au umependa picha zake?
 
Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
Angalia isije baada ya kuuteka moyo wako,akakuchomoa na macho kabisa.
 
Back
Top Bottom