Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba namba yake?Huyu binti dada yake na msanii Kiba kiukweli anamwonekano bomba na anatupia sana mavazi ya kujistiri pia sijawahi sikia ana skendo za ajabu ajabu kama zile za dada zake na msanii wa upande wa pili za kujiachia hovyo hovyo.
Kama kuna rafiki zake humu Jf hivi huyu binti kasha olewa?ili kama bado tunaomwelewa tuanze michakato ya kupeleka barua kwa mama kiba.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
-Ndumilakuwili-
Anatumia I'd gani humu?naomba nitonye pm.Zabibu hajaolewa, anti bibu njoo ujibu huku [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!noma sana.
Halafu ni memba humu huyu binti...... na hajaolewa...
Mkuu anatumia I'd gani?Halafu ni memba humu huyu binti...... na hajaolewa...
Naona umeliamsha dude boss, hapo katupia vazi la kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ukimtokea hakawii kukujibu yooo!!
wazee wameibuka na madude sasa, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] JF bwana hawashindwi!!!
Imenibidi nirud nikaangalie [emoji23]Ukiniona mm utasemaje? Mbn ana kapua kazuri tu.Pua yake imezd kipimo cha wanaaadamu wa kawaida!!!