Umenikumbusha hekaya ya dikteta mmoja alipotembelea wafungwa jela, kila mfungwa aliyemuona alimuuliza, wewe una kosa gani na umefungwa muda gani? Mmoja akasema aliiba kuku na kafungwa miezi sita, dikteta akasema muongezeeni sita mengine, nchi imejaa chakula hii halafu huyu anaiba kuku.
Mwengine alipoulizwa akasema yeye alibaka mwanamke akahukumiwa miaka 2 jela, akasema huyu muongezeeni miaka 10, maana nchi imejaa wanawake yeye anabaka. Mwengine akasema yeye, amemuingilia mbuzi na amefungwa miaka 3, akasema huyu muongezeeni miaka 7 maana ameharibu kitoweo.
Mmoja alipoulizwa akasema yeye alimwingilia mbwa wa polisi, dikteta akasimama vizuri akamuuliza, mbwa wa polisi umemuingiliaje na wale ni wakali? Mfungwa akasema niliutoboa ungo katikati kisha nikamvesha mbwa shingoni ikawa kila akigeuka nyuma anakutana na ungo, dikteta akamuuliza, umefungwa miaka mingapi, akasema miaka 7, dikteta akasema huyu mwachieni sasa hivi na mpelekeni chuo akasomeshwe vizuri, huyu ana akili nyingi sana za sayansi ya kujihami atatusaidia sana jeshini huyu.
Sasa wewe nyang'au
MK254, amua baada ya kusoma hicho kisa huyo unataka afanywe nini?