Huyu 'daktari' bandia wa upasuaji tumfanye nini

Soma taarifa. Aliandikwa kazi na Wizara ya afya. Bila shaka pesa alikuwa akitia kibindoni.
 
MK254
Tunafaa turdi nyuma zaidi ya hilo swali la huyu daktari mmoja, tuanaa turudi hadi curriculum
au sylabus na system ya elimu hapa kenya, Kama alipata C- ambayo according to KNec, KCSE ni kati ya average of 32%-38% marks out of 100%, na bado ameishia kuwa daktari mzuri, basi hio inadhihirisha system ya elimu yetu imepitwa na wakati, mara nyingi wakenya wengu hushindwa kufanya kazi wanazosienzi eti kwasababu walianguaka mtihani wa chuo cha pili na hawakufuzu kuingia chuo kikuu... \Hapa tuanona mtu aliea anguka mtihani wa chuo cha pili na alieshindwa kufuzu degree na bado ni daktari makinifu na hodari.... Tunafaa tugeuze mfumo wetu wa elimu ukue more practical, demonstrative, cognitive, proof of theories......yani kila wakati wanafunzi wawe wanafundishwa kufanya badala ya kufundishwa kukumbuka ili wapite mtihani, manake ujanga sio kupita kamtihani kamoja....
 
Mkiliweza hilo tu basi Kenya itakua ulimwengu mwingne
 
In the world of thinking and imagination, I think there is more room for a guy!
Kwa sababu kuna doctors wana vyeti lakini uwezo wao unatia mashaka na wanajijua wakati huyu hana vyeti lakini wanasema amefanya upasuaji zaidi ya mara moja tena kwa mafanikio. Hivyo wazo la kumpeleka jela huenda lisiwe na faida kama kumrudisha chuoni ili kufanya verification of his knowledge.
 
Hapa inahitajika umakini sana, kama huyo kijana ataonekana kama "shujaa" fulani na kutopewa adhabu, mjue tu kuna wimbi la dr feki kumiminika hospitali zenu wakiamini hata wakikamatwa kuna kuponyeka.

Huyo kijana inabidi apigwe adhabu ndogo either jela miezi kadhaa au community services then ndio asaidiwe kujiendeleza kielimu.
 
Mbona very simple, na yeye apasuliwe tu tena bila ganzi!!!!! Full stop, waitwe wanafunzi wajifunze jinsi ya kumpasua MTU na kumshona na kufahamu vitu vilivyomo humo ndani!!/ kwanini kuumiza vichwa???

Wacha ujinga wewe
Hujui kama kaokoa watu wengine
Mahosipitari mengi yana upungufu wa nadaktari kama huyo
Wewe unaona hana maana!!
Watu wanapoteza maisha kukosa upasuaji
Huyo niwakumuongezea Elimu zaidi
Ili asaidie watu
 
Katika fani ngumu kwa masomo na inayochukua muda mrefu kuisoma ni fani za afya lakini ni rahisi sana mtu kuzifanya kwa mazoea bila kusomea. Wale mortuary attendant wanauwezowa hali ya juu wa kufanya post mo therm kwa kuwa kila mara hushuhudia wafanyavyo madaktari ama saa nyingine madaktari wavivu huwaamrisha pasua hapa mwisho wa siku huwakuta na uzoefu wa hali yajuu.
 
Wewe!!!!! hiyo haiwezekani..... kuna watu ni mafundi kweli kweli wa mitaani ... ukimchikua umpeleke VETA akijifunze ufundi rasmi na kutambulika kwa cheti ..... piga garagaza ni zero... ni sawa sawa na huyu umpeleke eti akasomee udaktari akakutane na ma GLYCOLYSIS, CREB CYCLE na ma FORMULAR KIBAO YA PHYSIOCHEMISTRY ? Thubutu yako kama haja lala mbele mwenywe.
 


Umenisoma nlichoandika lakini au umelewa mchana mchana.
 
The health committee, chaired by Norbert Maiyo, asked the government not to punish Melly but instead train him fully to continue with his good work.

Mkuu, fuateni huu ushauri hapo juu.

Pili napenda kufahamu alishindwa kumaliza kwa kutofaulu? Au ilikuwaje?
Kama kwa kufail mtihani,waangalie continuous Assessment zake, maana kuna hofu uingiapo chumba cha mtihani unaweza shindwa kwa hofu ingawa ulikuwa mzuri darasani.
Ni mtazamo tu.
 

Mfumo wote wa elimu unafaa kuangaliwa upya, binafsi nimesema hilo mara nyingi. Haya mambo ya kumfanya mtu ana taharuki siku za mtihani hadi anapoteza kila kitu sio mfumo bora.
 
Wacha ujinga wewe
Hujui kama kaokoa watu wengine
Mahosipitari mengi yana upungufu wa nadaktari kama huyo
Wewe unaona hana maana!!
Watu wanapoteza maisha kukosa upasuaji
Huyo niwakumuongezea Elimu zaidi
Ili asaidie watu
Nimeacha ujinga na wewe uache ujinga wa kutaka Madaktari feki waendelee kutuulia ndugu, hapo vipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…