Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Heeeeeeh....binadamu hukutana milima haikutani.
Huyu demu wakati mi nasoma kidato cha 3 nlikuwa nampenda sana.yeye alikuwa kidato cha 4. Basi ikawa alitoka shule mi nasimama getini jioni anarudi home kwao. Alikuwa demu mkali sana mpaka namwogopa.
Nlikuwa namtizama mpaka napigwa ganzi. Yaani nlikuwa bwege kweli kweli. Siku moja nmeenda nunua kadi ya mapenzi. Narudi hivi nakutana naye njiani. Kuchanganyikiwa nikampa kama ilivyo hata sikuandika jina wala nini.
Miaka hiyo mapenzi shata shata ,mapenzi mnato kweli kweli. Halafu sijawahi hata kula kipapiro. Basi tu kujishaua na demu.
Siku hiyo nikajichanganya kumbe yeye katangulia mbele na mwenzie kaka zake wababe wapo nyuma. Wananicheck nammendea sister wao.basi mi huyo ninaye akikata kona ninaye akinyooka...kuja shtuka kaingia kwao nami kama bwege nikaingia.
Sasa nmeingia getini nikapigwa na butwaa nataka nini? Nikaona si shida nikamwita flani...akageuka.nikamwambia nmemfuata nimsalimie.akaniambia si jafanya vizuri. Nikiwa sielewi kaka zake hao ndani.
Wakauliza dogo unafanya nini humu. Nikawaambia nmekuja nunua ice cream. Mmoja akacheka kwanza kwa dharau na kusema hiyo ice cream wameniona toka kule chini.
Wakanikalisha chini na kuniuliza nani aliniambia nauza ice cream. Nikawaambia hapana nlikuwa nataka mayai. Wakaniambia nisubiri si nataka mayai kwa dada yao. Yule demu yupo dirishani ananicheck tu.
Jamaa walianza kunigonga makonzi, yule demu uzalendo ukamshinda akaanza kucheka. Jamaa waligonga makwenzi kinyama huku wamenikalisha chini. Akili kama ilisizi hivi. Baadaye nikashtuka nikachomoka getini. Mbio kinyama.
Nafika home kichwa kama kina mabonde mabonde.kinauma kinyama.yule.demu sikumwona tena zaidi ya miaka 30 sasa. Leo nmekutana naye.....kachoooooooooooka. ameshanisahau. Mi namkumbuka vizuri tu. Nmemkumbusha leo hata hajaweza cheka. Amesikitika tu. Ana watoto wa4 na mimba pia. Hapa hosp kaja na mmoja na mumewe hayupo.