Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ni kama miezi miwili sasa nlikutana naye Bank fulani town nikiwa naenda weka mkwanja. Akashoboka. Basi mi mlume ndago nikasema hamna noma kama vipi tuunge.
Basi ikawa hivyo. Sasa ana ushamba wa sijui wapi. Eti anaongea kiswahili kama Mkenya. So mara nyingi tunatumia Kiingereza coz anajidai yeye kiswahili ni kwa mbaaaaaaali.
Sasa huo ushamba wa kujifanya Mkenya au kujiona kama mkenya mimi nimeupuuza tu. Simuulizi lolote abt Kenya. Akitoa mifano ya Nairobi nami natoa ambayo ni ya kudiss jiji la Nairobi. Halafu nasifia nchi za Ukweli ambazo nimetembelea. Hapo anakosa raha sana.
Yeye nadhani alifikiri kujifanya Mkenya na Kiswahili cha Kikenya kutampa credit. Sasa mlume ndago sijaonesha kushoboka wala nini. Demu ana Kipulilo (Komwe ) kama chote. Na jina lake la ukoo linaishia na Mushi. Ila anaona sifa kuzungumza kiswahili chenye lafudhi ya Kikenya. Nyapu sana huyu demu.