Huyu demu ana ushamba fulani hivi ambao nimegoma kuutambua. Sasa anaumia

Huyu demu ana ushamba fulani hivi ambao nimegoma kuutambua. Sasa anaumia

Ila maezi huu wa tano mkuu umecharuka Sana. Au dozi zimeshaanza kuexpire? (Kidding)

Kuna yule demu wa kuitwa dokii nae ana swagger hizo hizo za kuongea kikenya wakati yupo bongo Miaka elfu sasa. Ni rafudhi ya hovyo kabisa.
Very stupid yaani
 
Mademu wengi wa kibongo wana huu ushamba hata watangazaji wa redioni nao wako hivi, kuna mdada mmoja pia anaitwa Veronica Simulizi, mwanzoni alianza kutangaza vizuri baada ya kupata audience sasa anajifanya hajuwi Kiswahili vizuri, yaani wanaboa kishenzi.
Nao ni ushamba tu kama ushamba mwingine. Waaambiwe.
 
Back
Top Bottom