Huyu demu ana ushamba fulani hivi ambao nimegoma kuutambua. Sasa anaumia

Ila maezi huu wa tano mkuu umecharuka Sana. Au dozi zimeshaanza kuexpire? (Kidding)

Kuna yule demu wa kuitwa dokii nae ana swagger hizo hizo za kuongea kikenya wakati yupo bongo Miaka elfu sasa. Ni rafudhi ya hovyo kabisa.
Very stupid yaani
 
Nao ni ushamba tu kama ushamba mwingine. Waaambiwe.
 
NA dawa ya hayo matacle yenu ni kuyapakia mkuyati au mkongo af mpindishwe migongo kenge maji nyie
NA dawa ya hayo matacle yako ni kuyapakia mkuyati au mkongo af upindishwe mgongo kenge maji wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…