Huyu demu wa kishua nimempata kimazali mazali tyuu

Huyu demu wa kishua nimempata kimazali mazali tyuu

Hii ndio nini sasa? Unaambiwa mtoto kutokana na kama mtu mzima,mapenzi ya kweli hayapimwi na hayo plus vipaumbele vyako ni vya watoto wa primary!
 
watu wa aina kama nyie sijui kwanini mna akili ndogo kiasi icho?? tupe na histolia fupi ya nafasi ulizo wai kushika shuleni au ujawai hata kusoma shule maana mawazo yako yanaonyesha bado unakura kwa mama! under 18 yrs pia inawezekana ni mkubwa wa umbo lakini akili yako iko chini! ndio mazara ya madrasa ayo!
 
ila jamaa ni senior member....hvyo atakua mtu mzima
 
Mwanaume wa kulelewa, hotel ulilipia wewe au ni Demu alilipia?
 
Pimbi huyo anatuhadithia movie eeh halafu ulitumia condom maana nisije nikawa tayari niko mwilini mwako
 
unapenda mteremko,,jiongeze maisha hayapo hivo kwa mtoto wa kiume kutegemea kiuno
 
Back
Top Bottom