Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Fukuza haraka sana kabla ujachelewaKama mada inavyojieleza
Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005
Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat
Ila ndani ya miezi 6 niliyoishi nae binti kanenepa ovyo kitambi cha maana hadi nakosa mood nae
Najaribu kuwaza nitumie njia gani huyu binti asiendelee kunenepa maana hadi uzito sasa kanizidi
Ushauri wenu wakuu njia gani bora ya kudhibiti unene wa huyu binti maana akiendelea kunenepeana hivyo nitakosa hamu
Mi ndo namhudumia hapa kwa 100% kwa kila kituLabda kuna mtu ana muhudumia vizuri zaidi kuliko wewe,
Kwahiyo anananenepa kwa kukabiwa tokea pembeni zaidi
AnakuchoraMi ndo namhudumia hapa kwa 100% kwa kila kitu
Na hapo bado hajazaa. Akizaa atakua kama simtank.Kama mada inavyojieleza
Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005
Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat
Ila ndani ya miezi 6 niliyoishi nae binti kanenepa ovyo kitambi cha maana hadi nakosa mood nae
Najaribu kuwaza nitumie njia gani huyu binti asiendelee kunenepa maana hadi uzito sasa kanizidi
Ushauri wenu wakuu njia gani bora ya kudhibiti unene wa huyu binti maana akiendelea kunenepeana hivyo nitakosa hamu nae.
Nimemwambia hilo kwamba, kuna anayemuhudumia vizuri kuliko yeye na anashambulia kutokea pembeni,Una uhakika ni hivyo anavyokula hapo nyumbani tu