Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Akakope kausha damu,hutajua unene utakapopitia
Kwanza hongera inaonekana unaishi naye vizuri hana stress mwambie tu afanye mazoezi apunguze misosi mwili upungue,hata ukitafuta mwingine atanenepa tu mtu anabadilika kulingana na umri na hapo hajazaa ataongezeka tu na kitambi lazima.Kama mada inavyojieleza
Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005
Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat
Ila ndani ya miezi 6 niliyoishi nae binti kanenepa ovyo kitambi cha maana hadi nakosa mood nae
Najaribu kuwaza nitumie njia gani huyu binti asiendelee kunenepa maana hadi uzito sasa kanizidi
Ushauri wenu wakuu njia gani bora ya kudhibiti unene wa huyu binti maana akiendelea kunenepeana hivyo nitakosa hamu nae.
Kuna kanamna hapa hajaelewa tu 😎Nimemwambia hilo kwamba, kuna anayemuhudumia vizuri kuliko yeye na anashambulia kutokea pembeni,
Amebisha!
Tatizo mnakua na mawazo negative muda wote mnahisi kila mwanamke ni mchepukajiKuna kanamna hapa hajaelewa tu 😎
Hupigi pu..mbu weweKama mada inavyojieleza
Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005
Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat
Ila ndani ya miezi 6 niliyoishi nae binti kanenepa ovyo kitambi cha maana hadi nakosa mood nae
Najaribu kuwaza nitumie njia gani huyu binti asiendelee kunenepa maana hadi uzito sasa kanizidi
Ushauri wenu wakuu njia gani bora ya kudhibiti unene wa huyu binti maana akiendelea kunenepeana hivyo nitakosa hamu nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hapo bado hajazaa. Akizaa atakua kama simtank.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akakope kausha damu,hutajua unene utakapopitia