Huyu demu wangu hapa home ananenepa ovyo ovyo nifanyaje kumdhibiti

Kwanza hongera inaonekana unaishi naye vizuri hana stress mwambie tu afanye mazoezi apunguze misosi mwili upungue,hata ukitafuta mwingine atanenepa tu mtu anabadilika kulingana na umri na hapo hajazaa ataongezeka tu na kitambi lazima.
 
Hupigi pu..mbu wewe

Anajinenepeaje ukiwa unamkaziii mpaka anakunywa maji

Unene utoke wapi


Acha zako hujapewa kirungu ili ujojoe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…