Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Ila wew Dada n kiboko, kwahyo unadhani dawa ya usaliti ni usaliti?????
Na hyo unaemsifu anahofu na Mungu, uwe na hofu na Mungu utembee na Mke wa MTU??????
Kwanza adi hapo hufaiiii
 
Uwa najiuliza waume zenu hawapitiii humu hizi bandiko zenu?
Na je hawana marafiki ndugu majirani waliomo humu wakapeleka taarifa kwa wahusika? Au uwa mnatunga habari? Mnapata wapi hz confidence??
 
Mwambie dereva tax mumeo kajua na nakupangia mpango aache hizo habari
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…