Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?
Kama ningekua wewe hata kuomba ushauri nisnge omba,ivi mwanamke kweli unashindana na mwanamme akichepuka na wewe unachepuka,sasa hapo Malaya nani mume au wewe? kumbuka ukishaanza kumvulia mmoja nguo utawavulia mpaka idadi itakupotea..
mwanamke tulia tafakari kwanini mumewangu ana Chepuka wapi ulipo kosea? amewaona wengi na wazuri kuliko wewe lakini wewe ndio ulikua changuo lake,mitihani kwenye ndoa haikosekani unatakiwa kua mvumilivu tulia tafakari,kuchepuka sio jawabu angalia sasa inakugharibu na wala hujafaidi...
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?
Yani mkishaaharibu ndo mnakuja omba ushauri sasa hapo ushauriwe nini mwenzetu??? kila kitu ushaamua, yani siku zote tatizo ukiliona tatizo ndipo tatizo linapoanzia, kabla kumgaia huyo dereva taxi kwanza ungejiuliza kwanini Mume wako aliamua kuwa na kimada? Hiyo tabia alikuwa nayo tangu awali au ameanza hivi karibuni? Vipi kuhusu ulevi wake alianza zamani au siku za karibuni, usikute jamaa umemvuruga mwenyewe ndio mana kaishia kwenye pomben na wanawake baada ya kumsoma na kujua tatizo na kumsaidia unazidi kwenda kumuumiza tena kwa dereva taxi, umemdhalilisha sana, japo suing mkono yeye kuwa na kimada nje lakin wewe kama mwanamke ungeweza inusuru ndoa yake kwa njia nyengine na sio kwenda nje ya ndoa yako, alokwambia kwenda nje ya ndoa ndio kunaimarisha ndoa ni nani? Ulishindwa kumuamini hata Mungu wako ambae alikuletea huyo mume , wakati wenzako wakihangaika kwa waganga kuwasaka, Ungefanya juhudi zako binafsi na huku ukimuomba mungu amrudishe mume wako katika mstari, yani kosa moja tu hata hujahusisha wazee, wala ndugu kuliongolea tayari umeenda kugawa papuchi nje, huo ndo uvumilivu wa ndoa mloambiwa?
 
......ni mtu wa dini..God fearing.....
Unaalalisha uzinzi kwa maneno hayo.
Mungu atusamehe sana...
 
Hahaha. Nimependa hiyo defensive line "sio kwamba nilimuanza mimi", like it changes anything.

But anyway, ngoja tushuhudie huu uzi unavyogeuzwa "Wanaume vs Wanawake" real quick.
Hapa team wanaume tumeingia hadi wanawake. Mke wa mtu anayejielewa hawezi kufanya haya hata kama mume ni mchepukaji. Hivi wengine ndoa wanazichukuliaje kwani?
 
Wanaojielewa mpo wachache sasa. Wengi siku hizi ni mashindano. Wanamama wengi wanafanya vituko, wakiulizwa wanasema hata wanaume wanafanya.
 
Katika vitu ambavyo wanawake wa leo wanakarahisha watnaume wengi ni hapo kwenye kusema hawaridhishwi .

Kinachotokea ni kwamba mkeo anakuja kwa dereva tax anampa mzigo halafu anasema kwamba wewe hupigi vizuri.

Hapa dereva tax anakuonea huruma huku anapiga wife ukipita watu wanakuonyooshea vidole kwamba yule kumbe ishu ni wife anaharibu ndoa.

Mwanamke anaelalama hafikishi atalalama tu angalia huyu mara dereva tax, sasa God fearing sijui ataenda kwa nani baada ya hapo.
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?
Kabla hata sijasoma wengine wameandika nini hapa,nimejilidhisha kua wewe unahitaji maombi ya nguvu,una pepo wewe.hakuna cha taxi driver wala nini,kwa matendo yako hayo wewe ndo mwenye shida na umemsababishia huyo taxi man kuingia dhambini,haujalidhika umempiga chini umekwapua mwingine,na mumeo pia yupo,unadhani uko sawa wewe?
 
Watu mnamhusisha Mungu kwenye upuuzi wenu hiyo laana mtachomwa moto wa makaa ya mawe. mbafuu sana
 
SASA DADA WEWE NA HUYO JAMAA MNAABUDU NINI? NG'OMBE,NYOKA,TEMBO AU SIMBA? AU MNAABUDU SEHEMU ZENU ZA SIRI? KWA SABABU NDO ZINAWAKUTANISHA?
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?
Kwa nini Huyo tax driver hataki kukubari matokeo au alifumua marinda?
 
Mumeo unayemuona ni mlevi na hakutoshelezi anaonekana ni caring man na good peformance kwa kimada wake.

Hata hivyo nimejifunza wake wa walevi wana matatizo yanayo fanana. Itabidi kila mwenye mume mlevi niwe natafuta fursa.
 
Ushauri wa nini sasa? Ulipewa bure, endelea kukigawa bure
 
He is God fearing

His performance is much better that the two

Mungu baba muumba mbingu na nchi,mbona hawa watu wenye wanajitangaza wana hofu na wewe sisi hatuwaelewi?

Kama sio soga za mitandaoni,basi tunakokwenda sio kuzuri
 
Back
Top Bottom