Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

uzuri mtoa mada hukusema kama wewe ni god fearing person ingawaje unaabudu sehemu fulani.
tabia yako toka mwanzo inaonekana ilikuwa ni ya umalaya hata kabla hujampata huyo mumeo.
pia inaonekana huhitaji sana ndoa yako kwanza pengine kwa sababu mumeo sio: 1.caring 2.god fearing 3.good perfomer 4.loving 5.sober na hivyo ushauri unaotegemea ni kuwa ondoka tu uende kwa huyo anayefanya hayo hapo.

omba msamaha kwa mumeo na kwa Mungu wako na uachane na uchafu wako, la sivyo kubali mvunjiko
 
sasa mtu kama ww hua unaenda pa kuabudia shetaniii au maana hiyo God fearing nadhan Satan ndo God wako maana kama ni sehem za kuabudia kwel naona nyie ndo hufanya wapagani tuzid kua wengi

Wewe hujamuelewa, amesema ni god fearing na sio God fearing.
 
Hivi hata God fearing man ni wasinzi eeeh, jaman siku za mwisho tutasikia mengi.
 
Huyu sio yule dereva tax wa hapa mitaa home alishanipaga hii kala mke wa mtu aisee wacha nikamtonye swahiba msile kitoweo
 
hujapata uhakika kwamba mumeo anacheat na hata ungekuwa na uhakika bado isingekuwa kigezo cha wewe kubadili wanaume kama ulivyofanya dhambi haisahihishwi kwa dhambi..........jitafakari unaokoa ndoa yako au unaiangamiza.......wanaume kucheat ni nature kwa mwanamke aibu ..........ongea na mumeo nawe dhamiria kuacha hayo mambo unayofanya la sivyo utaangukia kwa mwanaume mmoja baada ya mwingine hata huyo unayemsifia atakuacha
 
hii makala Ishawahi kuandikwa kwenye gazeti la Ijumaa Mwandishi Akiwa ni Bro Joseph Shaluwa ingawa umejaribu kuibadilisha sana lakini kuna Vitu bado umesahau kuviondoa...

Ni kweli ibra87 huyu kaandika makala iliyopo kwenye gazeti lkn si uhalisia wa maisha yake ndio maan baadhi ya maneno ameacha bila kubadilisha. Sasa sijui ushauriwe nini. Halafu ww si umewahi kuniambia PM kunwa hujaolewa, iweje tena leo una mume?
 
Dah...wanawake...yan ndo umenfanya niongeze mapenz kwa baby wangu...kumbe attention ikipotea na nyie mnatafuta vipoozeo ??
Mke Wa mtu umezin Mara 6 ..halaf tena na mshikaji Wa kanisa unamtaman tena...jaman kwanin usingechukua another alternative maybe kwenda kwa marriage counselors kama akina Chris mauki au bas kwa mchungaji Wa kanisa lenu ..sasa ona vipoozeo vyako vinakutokea puani siku si nyingi. ...jaman womennnnnnnn!!!!!
 
hukustahli kuwa mke wa hata bata achilia mbali binadam ....
kimboka panakuhusu
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?

NI PM nikupe ushauri mzuri
 
God fearing person hatari sana hapo sasa.
Mwanzo mumeo alikua napiga kazi vizuri sasa hamna kitu sio
 
kabla ya yote ungekaa chini na kuongea na mme wako kwa kinachokusibu kabla ya kuchukua maamuzi mengine kama hayo. lakin sasa mpaka sasa ishatokea ndo basi tena cha kufanya mkanye tax driver mwambie yote yaliyotokea akikuelewa inapendeza asipokua mwelewa swala ni dogo tuu mpeleke. tahadhali wakishamfanya wanavyotaka ujue inafuata zamu yako uwe tayari kwa hilo.

usiache mbachao kwa msala upitao
 
Back
Top Bottom